Header Ads

Responsive Ads Here

MILIKI JIKO LA KISASA NA MTAMBO WA SOLA KUTOKA SUN KING

Sun King ni bidhaa za majiko ya kisasa ya kupikia na Sola za jua kutoka kampuni iliyosombaa kote duniani ikisifika kwa uuzaji wa bidhaa bora ya Green Light Planet.
Kampuni hii sasa imekufikia na bidhaa zake zinapatikana katika mikoa mbalimbali nchini hivyo wapigie kupitia nambari 08 00 75 10 23 bure kabisa kwa mahitaji ya majiko na sola za Sun King. Ikiwa uko Jijini Mwanza, fika katika ofisi zao zilizopo Buzuruga Plaza.


No comments