Header Ads

Responsive Ads Here

MFUMO MPYA WA UHASIBU NA UTOAJI TAARIFA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI


Katibu Tawala mkoa wa Dodoma, Rehema Dendegu akifungua mafunzo ya siku mbili  ya mfumo mpya wa Uhasibu na Utoaji Taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma  ‘Facility Financial Accounting  and Reporting System – FFARS katika ukumbi wa LAPF Conference Centre Dodoma.

 Nyaborogo Patrick Marwa, Mhasibu wa Afya Halmashauri ya Wilaya  ya Chamwino akichangia wakati wa mafunzo
ya mfumo mpya wa uhasibu na utoaji taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma ‘Facility Financial Accounting 
and Reporting System – FFARS.
 Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Fedha wa Mradi wa PS3, Dkt. Gemini Mtei,  akielezea lengo la mafunzo  ya mfumo mpya wa uhasibu na utoaji taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma ‘Facility Financial Accounting  and Reporting System – FFARS.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya mfumo mpya wa uhasibu
na utoaji taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma ‘Facility
Financial Accounting and Reporting System – FFARS wakifanya mafunzo kwa vitendo
baada ya maelekezo kutoka kwa wakufunzi.

No comments