Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO:PICHA MBALIMBALI UWASILISHWAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/2018


Mhe.Mpango
Waziri wa Fedha na Mpango Mhe.Dr.Philip Mpango akiwaonyesha waandishi wa Habari mkoba wenye hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini Dodoma tarehe 8thJune 2018.

Dk Mpango
Waziri wa Fedha na Mpango Mhe.Dr.Philip Mpango akiwasilisha Bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2017/18.
IMG_7397
Wabunge wakiingiaUkumbiwa Bunge kusikilizahotubayabajetiyaSerikalikwamwaka 2017/2018 leoBungeniMjini Dodoma tarehe 8th June 2018.
IMG_0651
Wabunge wakisikilizahotubayaBajetiyayaBajetiyaSerikalikwamwaka 2017/2018 leoBungeniMjini Dodoma tarehe 8thJuni 2018.
Picha zote na MAELEZO,DODOMA.

No comments