Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO KATIKA PICHA:YALIYOJIRI KWENYE MAZISHI YA ALLY YANGA MKOANI SHINYANGA


1
Aliyekuwa shabiki maarufu wa Yanga, Ally Said amezikwa leo kwao mjini Shinyanga.
Shabiki huyo alikuwa maarufu kwa kujipaka masizi na kuweka kitambi cha bandia pale alipokuwa uwanjani akiishangilia Yanga na wakati mwingine timu za taifa.

2
Ally maarufu kama Ally Yanga alifariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Mpwapwa, Dodoma, juzi.
34567

No comments