Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO KATIKA PICHA:KATIKA MAADHISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA


unnamed
Kilanja Mkuu wa Shule ya Santhome ya Mjini Dodoma Martha Linje akiongoza watoto wenzake kutoka shule mbalimbali za Jiji la Dodoma kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele cha keni tarehe siku 16 juni mwaka huu

1
Watoto wa Shule ya Santhome ya Mjini Dodoma wakiongoza watoto wenzao kutoka shule mbalimbali za Jiji la Dodoma kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele cha keni tarehe siku 16 juni mwaka huu.
2
Baadhi ya watoto kutoka shule za msingi Jijini Dododoma wakiwa na mabango ya kupinga ukatili dhidi ya watoto kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele cha keni tarehe siku 16 juni mwakahuu.
3
Mkurugenziwa Watoto kutokaWizarayaAfya, Maendeleo yaJamii, JinsiaWazee na Watoto pamoja na Mbungevitimaalumuambayealikuwamgenirasmiwakati wa uzinduzi wa MaoneshoyaSikuyaMtoto wa AfrikawakipatamaelekezokutokaMaofisa wa Plan International hawapopichanimarabaadayakutembeleamabandayamaonesho hayo.

No comments