Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 45, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 12, 2017.


PIX 1 Chenge
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

PIX 2 Mhe.Mavunde
Naibu Waziri Ofisiya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX 3 Prof Ndalichako
Waziri wa Elimu ,Sayansi naTeknolojia Mhe.Prof Joyce Ndalichako akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX 4 Mhe.Jafo
Naibu Waziri waNchiOfisiyaRais(TAMISEMI)Mhe.SelemaniJafoakijibumaswalimbalimbaliyawabungekikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX 5 Mhe.Ngonyani
Naibu Waziri waUjenzi,UchukuzinaMawasilianoMhe.EdwinNgonyaniakijibumaswalimbalimbaliyawabungekikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX 6 Mhe.Ole nasha
Naibu Waziri waElimu,SayansinaTeknolojiaMhe.Eng Stella Manyanyaakijibumaswalimbalimbaliyawabungekikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX 7 Mhe.Manyanya
PIX 8 Mhe.Mwigulu
Waziri waMambo yaNdaniMhe.MwiguluNchembaakijibumaswalimbalimbaliyawabungekikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX 9 Sixtus Mapunda
MbungewaMbingaMjini(CCM) Mhe.SixtusMapundaakiulizaswalikatikakikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX 10 Mhe.Maghembe na Kolimba
Waziri waMaliasilinaUtaliiMhe.ProfJumanneMaghembeakifurahiajambonaNaibu Waziri wa Mambo yaNjenaUshirikianowaAfrikaMashariki Mhe.Dk Susan Kolimbakatikakikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017
PIX 11 Mhe.Mgimwa
MbungewaKalenga(CCM) Mhe.GodfreyMgimwaakiulizaswalikatikakikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX 12 Mhe.Kangi lugola
12MbungewaMwibara (CCM) Mhe.KangiLugolaakiulizaswalikatikakikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX 13 Mhe.Asha Abdallah
Mbungewa Viti Maalum(CCM) Mhe.AshaJumaakiulizaswalikatikakikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX 14 Mhe.Jenista na Mabula Angela
Waziri waNchiOfisiya Waziri MkuuSera,Bunge,Kazi,Ajira,VijananaWatuwenyeUlemavuMhe.JenistaMhagamaakizungumzajambonaNaibu Waziri waArdhi,NyumbanaMaendeleoyaMakaziMhe.AngelinaMakazikatikakikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017
PIX 16 watoto wa shule
WanafunziwaShuleyaMsingi Holy Trinity English Medium kutokaMkoani Dodoma wakiwaBungenikwaajiliyakujifunzashughulimbalimbalikatikakikao cha 45 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 12, 2017.
PichazotenaDaudiManongi,MAELEZO,DODOMA

No comments