Header Ads

Responsive Ads Here

LOWASSA AUNGANA NA WAISLAMU KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA MBUNGE WA UKONGA MWITA WAITARAWaziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mh. Edward Lowassa,(wapili kulia), akisalimiana na waumini wa dini ya Kiislamu waliojumuika pamoja kwenye futari iliyoandaliwa na Mbunge wa jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Mhe. Mwita Waitara(kulia) hapo juzi. Waislamu kote nchini wanaungana na wenzao duniani katika kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitr Jumatatu Juni 26, baada ya kukamilisha ibada ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.

 Mhe. Lowasa akizungumza baada ya futari hiyo
 Mhe. Waitara akizungumza baada ya futari hiyo
 Mhe. Lowassa akisalimiana na wageni waalikwa kwenye futari hiyo


No comments