Header Ads

Responsive Ads Here

LIGI YA MABINGWA YA ULAYA REAL MADRID NA JUVENTUS FAINALI LEO

Ni fainali ya kihistoria ya Real Madrid na Juventus leo Jumamosi jijini Cardiff, Wales huku timu hizo mbili kila moja ikiwa imenyakua ubingwa wa Ligi Kuu nchini mwake msimu huu.Real Madrid ina kibarua kigumu cha kutetea taji hilo, kutokana na Juventus iliyo katika kiwango cha juu msimu huu.
Mchezo huo wa fainali unahusisha ushindani kwa makocha, wachezaji pamoja na mfumo ndani ya uwanja.
Makocha Zinedine vs Allegri
Utamu wa fainali hiyo umekolezwa na ushindani wa kocha Zinedine Zidane ambaye ni chimbuko la klabu hiyo ya Italia. Zidane anapambana ili kuandika historia kuyakua taji hilo kwa mara ya kwanza tangua achukue mikoba kuinoa klabu hiyo Januari mwaka jana.Pia, Kocha Massimiliano Allegri anataka kujihakikishia nafasi ya kuwa miongoni mwa makocha bora mbele ya wapinzani wao, Real Madrid.
Vita ya Ronaldo vs Buffon
Mtifuano katika fainali hiyo ipo kwa makocha pekee. Mchezaji Christiano Ronaldo anataka kudhihirisha ubora wake mbele ya kipa wa Juventus, Gianluigi Buffon.Kipa Buffon amekuwa mahiri baada ya kuzua hatari n

No comments