Header Ads

Responsive Ads Here

KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (UFUNDI) MISUNGWI.


BUK1
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo ya Jamii)  Bi. Sihaba Nkingaakitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi alipofanya ziara ya kikazi hivi karibuni.

BUK2
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo ya Jamii)  Bi. Sihaba Nkinga akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana alipofanya ziara ya kikazi hivi karibuni.
BUK3
Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana (kulia) akifafanua jambo kwa  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii)  Bi. Sihaba Nkinga(kushoto) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi kwa  ziara ya kikazi hivi karibuni.
BUK4
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii)  Bi. Sihaba Nkinga( wa pili kulia) akiongozana na watendaji kutoka Wizarani pamoja na  viongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi alipotembelea katika Chuo hicho kwa  ziara ya kikazi hivi karibuni.
BUK5
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(wa tatu kulia) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana (kulia) alipokuwa akimuelezea kuhusu chumba cha Kompyuta cha Chuo hicho wakati wa ziara yake ya kikazi hivi karibuni.
BUK6
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto  (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga akitumia moja ya Kompyuta zilizopo katika Chumba cha Kompyuta cha Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi uliwezeshwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Korea ya Kusini.
BUK7
Muonekano Chumba cha Kompyuta cha Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi uliwezeshwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanznia na Serikali ya Korea ya Kusini.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Misungwi Mwanza.

No comments