Header Ads

Responsive Ads Here

KAMPUNI YA MAWASILIANO YA ZANTEL YAJUMUIKA NA WAFANYAKAZI NA WADAU WAKE KWA FUTARI JIJINI DAR


unnamed
Baadhi ya wafanyakazi wa Zantel wakijumuika katika tafrija ya futari maalumu kwa ajili yao katika kipindi hiki cha mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Tafrija hiyo ilifanyika jana jijini Dar es Salaam.

ENGLISH
A section of Zantel employees take part at an Iftar event organized by the company for its staff and partners in Dar es Salaam yesterday.
1
Meneja Chapa na Mawasiliano wa Zantel, Rukia Mtingwa (kushoto) akitoa huduma ya chakula kwa baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo waliojumuika na wateja na wadau mbalimbali katika tafrija ya futari iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
ENGLISH
Zantel’s Manager of Brand and Communications, RukiaMtingwa (left) serves food to some of the Company employees at an evening Iftarorganized by Zantel for its staff and partners in Dar es Salaam yesterday.
2
MkuuwaKitengo cha RasilimaliWatu Zantel, JoanithaMrengo(wa pili kushoto)akitoahudumayachakulakwaMkurugenziMkuuwa Zantel Benoit Janin(wa kwanza kulia)katikatafrijayafutariiliyofanyikajanajijini Dar es Salaam.Tafrijahiyoilikuwanimahususikwaajiliyawafanyakazinawadauwakampunihiyo.Anayeshuhudia(kushoto)niAfisawaKitengo cha Rasilimaliwatu Zantel, Maryam Khatri.
ENGLISH
Zantel’s Head of HR department JoanithaMrengo (second left) serves Zantel Chief Executive Officer, Benoit Janin(first right) during an evening Iftarorganized by Zantel for its staff and partners in Dar es Salaam yesterday. Looking on (left) is Zantel’s HR personnel Maryam Khatri.
3
AfisawaKitengo cha Rasilimaliwatu Zantel, Maryam Khatri(kushoto)akitoahudumayachakulakwaMkurugenziMkuuwa Zantel Benoit Janin(kulia)katikatafrijayafutariiliyofanyikajanajijini Dar es Salaam.Tafrijahiyoilikuwanimahususikwaajiliyawafanyakazinawadauwakampunihiyo.
ENGLISH
Zantel’s HR personnel Maryam Khatri, (left) serves Zantel Chief Executive Officer, Benoit Janin(right) during an evening Iftar organized by Zantel for its staff and partners in Dar es Salaam yesterday.
4
AfisawaKitengo cha Rasilimaliwatu Zantel, Maryam Khatri (kushoto)akitoahudumayachakulakwawafanyakaziwa Zantelkatikatafrijayafutariiliyofanyikajanajijini Dar es Salaam.Tafrijahiyoilikuwanimahususikwaajiliyawafanyakazinawadauwakampunihiyo.
ENGLISH
Zantel’s HR personnel Maryam Khatri, (left) serves various Zantel staff during an evening Iftar organized by Zantel for its staff and partners in Dar es Salaam yesterday.
5
Baadhiyawafanyakaziwa Zantel wakijumuikakupatafutarikatikatafrijailiyoandaliwanaKampunihiyokatikakipindihiki cha mfungoMtukufuwaRamadhaniambayoilifanyikajanajijini Dar es Salaam.
ENGLISH
A section of Zantel employees breaking the fast at an Iftar event organized by Zantel for its staff and partners in Dar es Salaam yesterday.
6
MkurugenziMkuuwa Zantel,Benoit JaninakizungumzawakatiwatafrijayafutarimaalumuiliyoandaliwanaKampunihiyokwaajiliyawafanyakazinawadaumbalimbalikatikakipindihiki cha mfungoMtukufuwaRamadhani. Tafrijahiyoilifanyikajanajijini Dar es Salaam.
ENGLISH
Zantel Chief Executive Officer, Benoit Janin speaks at an Iftar event organized by Zantel for its staff and partners in Dar es Salaam yesterday.
7
MkuuwaKitengo cha RasilimaliWatu Zantel JoanithaMrengoakizungumzawakatiwatafrijayafutarimaalumuiliyoandaliwanaKampunihiyokwaajiliyawafanyakazinawadaumbalimbalikatikakipindihiki cha mfungoMtukufuwaRamadhani. Tafrijahiyoilifanyikajanajijini Dar es Salaam.
ENGLISH
Zantel’s Head of HR department JoanithaMrengo speaks at an Iftar event organized by Zantel for its staff and partners in Dar es Salaam yesterday.
8
MkuuwaKitengo cha RasilimaliWatu Zantel JoanithaMrengoakizungumzawakatiwatafrijayafutarimaalumuiliyoandaliwanaKampunihiyokwaajiliyawafanyakazinawadaumbalimbalikatikakipindihiki cha mfungoMtukufuwaRamadhani. Tafrijahiyoilifanyikajanajijini Dar es Salaam.KatikatiniMenejaMwajiriwa Zantel,Frank Jackson.
ENGLISH
Zantel’s Head of HR department JoanithaMrengo speaks at an Iftar event organized by Zantel for its staff and partners in Dar es Salaam yesterday. She is flanked by Zantel recruiting Manager Frank Jackson (centre).
91011
MkurugenziMkuuwa Zantel,Benoit Janin(wa kwanza kushoto)akifurahiajambonabaadhiyaviongoziwaKampunihiyowakatiwatafrijayafutariiliyoandaliwanaZantelkwaajiliyawafanyakazinawadaumbalimbalikatikakipindihiki cha mfungoMtukufuwaRamadhani. Tafrijahiyoilifanyikajanajijini Dar es Salaam.
Zantel Chief Executive Officer, Benoit Janin(first left) shares a light moment with some of the Zantel staff at an Iftar event organized by Zantel for its staff and partners in Dar es Salaam yesterday.

No comments