Header Ads

Responsive Ads Here

KAMISHNA MKUU WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MASAUNI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO


unnamed
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga, wakati Kamishna huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kupambana na dawa za kulenya nchini. 

1
Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga (kulia), akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati Kamishna huyo alipomtembelea Masauni ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kupambana na dawa za kulenya nchini.
2
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsikiliza Kamishna wa Intelejensia wa Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Fredrick Kibuta (kulia), alipokua anatoa ufafanuzi jinsi ya kupambana na dawa za kulevya nchini. Katikati ni Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Masauni, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments