Header Ads

Responsive Ads Here

KAMATI YA UCHAGUZI WA KLABU YA MAJIMAJI SONGEA YAZUNGUMZA NA WANAHABARI


Hatimaye kamati ya huru ya uchaguzi ya klabu ya MAJIMAJI imejitokeza mbele ya waandishi wa habari na kutangaza tarehe rasimi ya uchaguzi huo baada ya wanachama kushinikiza kufanyika kwa uchaguzi, ambapo nafasi zinazowania ni mwenyekiti wa klabu,makamu mwnyekiti wa klabu na mjumbe wa bodi HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

No comments