Header Ads

Responsive Ads Here

JINGINE KUHUSU MACHINGA JIJINI MWANZA

Shirika la Umoja wa Machinga mkoani Mwanza SHIUMA, limezungumzia suala la serikali kuwapa machinga wote nchini vitambulisho maalumu ili waanze kulipa kodi kama ilivyoelezwa na waziri wa fedha na mipango, Dkt.Philip Mpango wakati akiwasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2017/10 bungeni mjini Dodoma.

Nembo rasmi ya Shiuma

No comments