Header Ads

Responsive Ads Here

DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO


 Wageni wilayani Muheza
Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo 
  Wageni wilayani Muheza
Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo 
  Wageni wilayani Muheza
Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo 
 MKUU wa wilaya ya Muheza,Hajat
Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga
(RAS) Mhandisi Zena Saidi katikati anayefuatia ni Katibu Tawala wa
wilaya ya Muheza (DAS) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya
Muheza,Luiza Mlelwa wakipata futari iliyoandaliwa na mkuu huyo wa wilaya
nyumbani kwake.
 Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani
Tanga Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia kushoto ni Katibu Tawala wa
Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu
huyo wa wilaya.
 Baadhi ya waalikwa
wakipata futari hiyo
 Baadhi ya wageni waalikwa
wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat
Mhandisi Mwanasha Tumbo
 Wageni waalikwa wakipata
futari nyumbani kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza.
 Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya
Muheza,Makame Seif katikati akiwahudumia wageni waalikuwa kwenye futari
hiyo anayepokea chai ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mathew
Mganga
 Waalikwa wakipata futari
hiyo wa pili kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa wilaya ya
Muheza,MathewMganga
Wageni waalikuwa kwenye futari
hiyo katikati ni Amina Omari Mwandishi wa gazeti la Mtanzania Mkoa wa
Tanga na kulia ni Mariam Shedafa kutoka Azam TV Tanga
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa katikati akiwa na wageni wengine wakishiriki kwenye futari hiyo
ambayo iliandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha
Tumbo 
Mkuu
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo
akizungumza na waandishi wa habari ambapo alitoa shukrani kwa kuitikia
mwitikio wa futari hiyo
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat
Mhandisi Mwanasha Tumbo akiagana na waandishi wa habari mara baada ya
kumalizika futari hiyo.
Habari kwa hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha.

No comments