Header Ads

Responsive Ads Here

Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari Dar


Rais Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (katikati) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari maalumu kwaajili ya Wateja wa NMB walio kwenye mfungo Mtufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Jijini Dar es Salam juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa wateja wadogo na wakati wa NMB, Abdulmajid Nsekela.

Rais Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akiagana na baadhi ya wateja wa Benki ya NMB mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari maalumu kwa ajili ya Wateja wa NMB walio kwenye mfungo Mtufu wa Ramadhani.

Rais Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (katikati) na Mkurugenzi wa wateja wadogo na wakati wa NMB, Abdulmajid Nsekela (kulia) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari maalumu kwa ajili ya Wateja wa NMB walio kwenye mfungo Mtufu wa Ramadhani.

Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB wakijumuika katika tafrija ya futari maalumu kwa ajili ya wateja wa benki hiyo walio kwenye mfungo Mtufu wa Ramadhani jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya maofisa waandamizi wa Benki ya NMB wakiwa na viongozi mbalimbali waalikwa katika hafla hiyo.

Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB wakijumuika katika tafrija ya futari maalumu kwa ajili ya wateja wa benki hiyo walio kwenye mfungo Mtufu wa Ramadhani jijini Dar es Salaam.
______________________________________________

No comments