Header Ads

Responsive Ads Here

BANDA LA LAPF LANG’ARA KATIKA MAONYESHO YA TANTRADE BARABARA YA KIRWA JIJINI DAR ES SALAAM


4
Rehema Mkamba Afisa Masoko Mwandamizi LAPF akisoma wraka wa Matangazo ya vipindi kutoka kampuni ya PPR iliyotembelea katika banda la mfuko huo lililopo kwenye Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TANTRADE barabara ya Kirwa kwa lengo la kutangaza huduma zake  katika maonyesho ya 41 ya baiashara ya nje  yanayoendelea jijini Dar es salaam.

1
Bw. Juma Milinga Afisa Matekelezo Mwandamizi LAPF akimpa maelezo Bw. Nungu Weswa mteja aliyetembelea katika banda hilo ili kuionea huduma mbalimbali zinazotolewa na mfuko huo.
2
Kulia ni Simboninsia Ndosi Afisa Mafao LAPF na Sophia Matangalu Ofisa Mafao Mwandamizi LAPF wakiwa katika maonyesho hayo ili kutoa maelezo mbalimbali kwa wateja wanaotembelea kwenye banda hilo.
3
Afisa Matekelezo LAPF Bi. Agness William akiwa tayari kwa kupokea wateja wanaotembelea katika banda hilo wakati huu wa maonyesho ya sabasaba kwenye viwanja vya TANTRADEBarabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
  5
Baadhi ya wafanyakazi wa mfuko huo wakitoa huduma kwa wateja mbalimbali waliotembelea katika banda la LAPF kwenye viwanja vya Maonyesho vya TANTRADE Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam, Kulia anayepata maelezo ni Cyprian Mpinda Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam UDSM.
6
Baadhi ya wafanyakazi wa LAPF wanaotoa huduma katika maonyesho hayo wakiwa katika picha ya pamoja.
7
Muonekano wa banda la LAPF.

No comments