Header Ads

Responsive Ads Here

BALOZI ADADI AWAFUTURISHA WAKAZI WA JIMBO LAKE


Mbunge wa Jimbo la Muheza(CCM) Balozi Adadi
Rajabu akizungumza na wananchi wa Jimbo hilo mara wakati wa futari
iliyoandiandaa nyumbani kwake kwa
wananchi
Mbunge wa Jimbo la Muheza(CCM) Balozi Adadi
Rajabu kushoto katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Muheza wakiwa
na wageni waalikwa wakipiga
dua
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi
Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa futari
hiyo
Wageni waalikuwa wakipata futari hiyo
ambayo iliandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Muheza,Balozi Adadi Rajabu
nyumbani kwake
 Wageni waalikuwa wakipata
futari hiyo ambayo iliandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Muheza,Balozi
Adadi Rajabu nyumbani kwake
 MNEC wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mking
a,Mwasingo naye akipata
futari hiyoMbunge wa Jimbo la Muheza(CCM)
Balozi Adadi Rajabu akiwa na wananchi wa Jimbo lake wakipata
futari
 Mwandishi wa AZAM TV
mkoani Tang,Mariam Shedafa kulia na Anna Peter wakipata futari
 Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto mwenye kikombe cha chai
akipata futari na wageni wengine.
 Katiby Tawala wa wilaya
ya Muheza (DAS) Desderia Haulekulia akipata
futari na wageni wengine waalikuwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la
Muheza,Balozi Adadi Rajabu

Mbunge wa Jimbo la Muheza
Mkoani Tanga,Balozi Adadi Rajabu akiagana na wananchi waliofika kupata
futari nyumbani kwake
Habari kwa hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha.

No comments