Header Ads

Responsive Ads Here

AZANIA BANK LIMITED YASHIRIKI MAONYESHO YA TANTRADE BARABARA YA KIRWA JIJINI DAR ES SALAAM

az1
Mtaalam wa Mikopo ya Nyumba (Mortigage Specialist) kutoka Benki ya Azania Bi. Liberia Peter akitoa maelezo kwa Bw. Allan Rukantabula kutoka kampuni ya Brighter Monday Tanzania aliyetembelea katika banda hilo kwenye maonyesho ya 41 ya TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.

az2
Mtaalam wa Mikopo ya Nyumba (Mortigage Specialist) kutoka Benki ya Azania Bi. Liberia Peter na Bw. Allan Rukantabula kutoka kampuni ya Brighter Monday Tanzania wakifurahia jambo wakati mteja huyo  alipotembelea katika banda la benki hiyo kwenye maonyesho ya 41 ya TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
az3
Bw. Othman katikati , Victor kushoto na Liberia wafanyakazi wa Benki ya Azania wakiwa katika banda lao kwenye maonyesho ya 41 ya TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya maonyesho vya Sabasaba Baraara ya Kirwa jijini Dar es salaam.

No comments