Header Ads

Responsive Ads Here

AFC LEOPARDS YA KENYA YAFANYA MAZOEZI YAKE KARUME LEO


MON1
Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume 
jijini Dar es Salaam, leo Juni 4, 2017 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya ‘SportPesa Super Cup’ 
inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo fungua dimba itakuwa ni kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na 
Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa ni kati ya Gor Mahia Vs Jang’ombe Boys Fc. Picha kwa hisani ya Montage Ltd.
MON2MON3MON4

No comments