Header Ads

Responsive Ads Here

ZANTEL KUTOA OFA KWA WATEJA WAKE KIPINDI CHA MFUNGO WA RAMADHANI


  • Wateja wa mtandao wa simu Zantel sasa kufurahia mawasiliano na ndugu jamaa na marafiki waliopo mashariki ya kati kwa bei nafuu kwa kutumia vifurushi cha kimataifa cha uarabuni.
Dar es Salaam, Mei26 2017- Tunapokaribia mwezi mtukufu wa Ramadhani, kampuni ya mtandao wa Simu ya Zantel inaendelea kutimiza ahadi yake ya kuongeza thamani katika maisha ya wateja wao na sasa kutangaza ofa maalum inayowalenga waumini wa dini ya Kiislamu nchini wanapoelekea kuadhimisha mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramadhani dunia ni kote.
Akitangaza habari hii makao makuu ya kampuni ya Zantel yaliyopo Msasani jijini Dar es salaam Mkurugenzi mkuu wa Zantel Bwn. Benoit Janin amesema “Ramadhani ni muda muafaka wa kujenga mahusiano mazuri na ndugu, jamaa na marafiki nao fahiini ishara ya Zantel kuwasaidiawateja wake kuwezakuungananakuwasilianakwaurahisizaidinawapendwawao”.
Bwn. JaninameelezeakwambakutakuanabidhaambalimbalizitakazotolewakatikakipindihikinaanawasihiwatejawaZantelwavipekipaumbelebidhaahizi. Ofahizizitaanzarasmitarehe 26/5/2017.
Akielezea Zaidi kuhusuofahii, Menejawabidhaanamawasiliano Bi. RukiaMtingwaamesema “OfahiiitashirikishavifurushivyaBonganaMpakabasiambapowatejawaZantelwatapatapunguzo la asilimia 50 kupigasimukuanziasaa 5usiku hadisaa 11 asubuhina Zaidi watawezakupatahudumazetumpyatulizozinduahivikaribunikama ‘ZanteL Madrassa’ ambapowatejawanawezakupatamufunzoyadiniyakiislamukama Quran, Hadith, duah,habarizabakwata, nahudumanyinginenyingizinazopatikanakupitiakupigasimu, ujumbewamanenonaprogramuzasimu”.
Bi.MtingwaaliongezeakuwawatejawaZantelwanawezakuwapigiasimundugujamaanamarafikiwaliopomasharikiyakatikwabeinafuuzaidikupitiakifurushi cha kimataifa cha uarabuni. Kwa shilingizakitanzania 2,000 watejawatapatadakika 4 zakupigasimu  Qatar,Oman, UAE,Lebanon, Pakistan, Yemen& Saudi Arabia, nakwashilingi 5,000 watapatadakika 10 kupigasimukwendakwenyenchitajwa, nafedhahizizitakatwamojakwamojakwenyeakauntizasaliozawateja.
Vifurushivyotehivivitapatikanakwakujiungakwakupiga*149*15#nakwavifurushivya‘BongaMpakabasi’, ‘Zantel Madrassa’ watejawatawezakujiungakwakutumaujumbewamanenokwakutumianeno SUBnakutumakwendanamba 15586 au kwakupiganamba 15586
Zantelinaendeleanamradi wake wakuboreshamtandao wake kuwawakisasa Zaidi visiwani Zanzibar ilikuhakikishawateja wake wanafurahiahudumazinazoaminika Zaidi zikiwemohudumayamtandaowaintanetiwakasi Zaidi wa4G, nakwamaraya kwanza hudumazakibenkiza KIISLAMkupitiasimuzamkononi.

No comments