Header Ads

Responsive Ads Here

Wakimbizi wampa mtoto wao jina la waziri mkuu wa Canada


Wakimbizi wampa mtoto wao jina la waziri mkuu wa CanadaHaki miliki ya pichaAFRAA BILAN
Image captionWakimbizi wampa mtoto wao jina la waziri mkuu wa Canada
Wakati Muhammad na Afraa Bilan waliwasili Canada mwezi Februari mwaka uliopita, walikuwa wanmeanza maisha mapya katika nchi tofauti kabisa.

Wakitokea mjini Damscus nchini Syria, wawili hao pamoja na binti yao Naya na Nael, ambaye ni mtoto wa kiume waliwasili mjini Montreal kama wakimbizi.
Waziri mkuu Justin Trudeau hakuwepo kuwakaribisha kati uwanja wa ndege vile alifanya wakati wakimbizi wengine waliwasili.
Lakini wanandoa hao walihisi kuwa walistahili kumshukuru kwa njia nyingine, na hivyo walimpa mtoto wao aliyezaliwa nchini Canada jina la waziri mkuu Justin Trudeau.
Mjini Damascus Muhammad alikuwa akifanya kazi kama kinyozi. Lakini wakati mmoja alishikwa na jeshi la Syria na kufungwa.Haki miliki ya pichaFACEBOOK/MUHAMMAD BILAN
Image captionMjini Damascus Muhammad alikuwa akifanya kazi kama kinyozi. Lakini wakati mmoja alishikwa na jeshi la Syria na kufungwa.
Justin Trudeau Adam Bilan alizaliwa siku ya Alhamisi katika mji wa Calgary.
Mjini Damascus Muhammad alikuwa akifanya kazi kama kinyozi. Lakini wakati mmoja alishikwa na jeshi la Syria na kufungwa.
Baada ya kuachiliwa familia yake iligundua kuwa mamlaka zilikuwa zikimtafuta tena na kwamba angefungwa.
Fusra ya kuondoka nchini humo iliwadia wakati waligundua kuwa Canada ilikuwa ikiwachukua wakimbizi wa Syria baada ya bwana Trudeau kuingia ofisini
Miaka mitano ya vita nchini Syria , walifanikiwa kupata fursa hiyo.
Justin Trudeau Adam Bilan alizaliwa siku ya Alhamisi katika mji wa Calgary.Haki miliki ya pichaFACEBOOK/MUHAMMAD BILAN
Image captionJustin Trudeau Adam Bilan alizaliwa siku ya Alhamisi katika mji wa Calgary.

No comments