Header Ads

Responsive Ads Here

WAFANYAKAZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU WASHIRIKIKATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI-DODOMA

OM1
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia Mjini Dodoma.

OM3
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakipita mbele ya mgeni rasmi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri (hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
OM4
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
OM5
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
OM6
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri akisoma hotuba wakati wa Sherehe  za Mei Mosi zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU-DODOMA)

No comments