Header Ads

Responsive Ads Here

VYAMA VYA TLP NA NCCR-MAGEUZI VYATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WANAFUNZI WALIOPATA AJALI ARUSHA

MwandishiWetu

VYAMA vya NCCR-Mageuzina Tanzania Labour Party (TLP), vimesemavimepokeakwamasikitikomakubwataarifazavifovyawanafunzi 33, walimuwawilinaderevammojawaShuleyaMsingi Lucky VicentyajijiniArushaambayoimetokea Mei tanokatikaeneo la RhotiawilayaKaratu.

Wakizungumzakwanyakatitofautina JAMBOLEO viongoziwavyamahivyowalisematukiohilolimewaachiamachungumakubwanakuwahalivumiliki.
KatibuMkuuwa TLP, Nancy Mrikariaalisemachamachaokimepatwanamsukomkubwakutokananatukiohilohivyokuwaombawafiwawottekuwawavumilivukatikakipindihiki.

MrikariaalisematukiahilolimegharimumaishayavijanawadogoambaowalikuwawakihitajikakutumikiaTaifakwasikuzabaadae.
“TLP tunaunganafamilia, wazazi, walimunaWatanzaniawotekwaujumlakatikakipindihikikigumutunapaswakuendeleakumuombaMunguilikuwafarijiwafiwakwaniTaifalimepotezanguvukazi,” alisema.

KaimuMakamuMwenyekitiwaKitengo cha VijanaTaifa, NCCR-Mageuzi, Nicolas Clinton, wanaungananaWatanzaniawotekatikamsibahuuwaKitaifanakwamasikitikomkubwawanatoa pole kwaTaifa.

Alisemaraiyaokwamamlakahusikaifanyeuchunguziwa kina, ilibaadayehalikamahiyoisijurudietenanakunawasiimaderevawotenchinikuwamakininakufuatasheriazabarabarani, lakinipiakukaguliwakwavyombovyamotokablaya safari. 

No comments