Header Ads

Responsive Ads Here

VODACOM-TANZANIA YAUNGANA NA UBALOZI WA AFRIKA KUSINI KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU WA NCHI HIYO JIJINI DAR ES SALAAM


Balozi wa Afrika ya  Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu akicheza muziki wa asili ya Afrika KusiniKwaito na baadhi ya wageni waalikwa wakati wa kusherehekea maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya Kusini,Hafla hiyo iliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Meneja Ruzuku wa Vodacom  Tanzania Foundation, Sandra Oswald(kushoto)akiwa na wageni waalikwa kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya Kusini,Hafla hiyo iliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC na kufanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Balozi wa Afrika ya  Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu akipongezwa na Meneja Ruzuku wa Vodacom  Tanzania Foundation, Sandra Oswald,kuhusiana na sherehe ya maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya Kusini iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki,Sherehe hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC.

No comments