Header Ads

Responsive Ads Here

VIDEO:ARSENAL BINGWA KOMBE LA FA CUP,YAIGONGA CHELSEA


Arsenal imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza Mchezo wa kombe la FA CUP magoli yakifungwa  na Alex Sanchez dakika ya 4 na Aroon Ramsey dakika ya 79 huku Diego Costa akifunga bao la kufutia machozi dakika ya 76, ushindi sasa unamuwekea rekodi Arsene Wenger wa kuwa kocha pekee aliyewahi kutwaa mataji 7 ya FA katika historia ya Kombe hilo.


No comments