Header Ads

Responsive Ads Here

UVCCM MWAMBUGU ALIKUA NI MWANASIASA MZALENDO


kk13
Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akisain Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu   wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini
kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .

 
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya Mhe Rais Mstaafu kuwasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu leo  wakati wa ibada ya kuaga mwili
wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini
kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .
 Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho
Kikwete akitoa Mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Said Mwambungu alipo fika  leo  kwa ajili ya ibada ya kuaga mwili
wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini
kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akisain kitabu cha waombolezaji alipo wasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu leo  wakati wa ibada ya kuaga mwili
wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini
kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .
Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mery Majaliwa akisain kitabu cha waombolezaji alipo wasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu leo  wakati wa ibada ya kuaga mwili
wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini
kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .
  Baadhi ya waombolezaji wakiendelea kusoma dua mbali mbali za kumrehemu Marehemu Said Mwambungu.
Baadhi ya waombolezaji walio fika Msibani wakiendelea kusoma dua mbali mbali za kumrehemu nMarehemu Said Mwambungu.
Jenaza lenye Mwili wa Marehemu Said Mwambungu likiwa limefunikwa na bendela ya Chama cha Mapinduzi  pamoja na Baadhi ya waombolezaji wakiendelea kusoma dua mbali mbali za kumrehemuNyumbani kwake kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini
kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .(PICHA NA FAHADI SIRAJI)

No comments