Header Ads

Responsive Ads Here

Uhusiano wa ajabu baina ya marafiki wawili

Frikkie Von Solms sio mtunzaji wa wanyama wa kawaida. Hali hii inatokana na ukweli kuwa mnyama anayemfuga si wa kawaida pia. Mnyama huyu anayemfuga ambaye wanaonekana kuelewana sana ni Simba mwenye kilo 254 anayemuita Zion.
Frikkie raia wa Afrika Kusini kwa kuzaliwa kwa miaka 11 amekuwa akimlea Simba huyo  baada ya kumuokoa kutoka katika eneo alilokuwa akilindwa akiwa bado mdogo.
Picha zifuatazo ni picha zinazoonesha urafiki wa hali ya juu kati ya Frikkie na Zion. Pia kuna video inayoonesha mahusiano haya ambayo ninashauri uiangalie ili kuona namna ambavyo marafiki hao wawili wanavyoelewana.

No comments