Header Ads

Responsive Ads Here

TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR


unnamed
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akiwaameshikabango wakati akiongozamaandamano yawafanyakazi wa Tume kushirikiMaadhimisho ya Siku ya WafanyakaziDunianikwa mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika uwanja wa Uhuru.

1
Baadhi ya wafanyakaziwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (nyuma ya aliyeshikabango), wakipitambele ya jukwaakuu katika maandamanoyaMaadhimisho ya Siku ya WafanyakaziDuniani, kwenye uwanja wa Uhurujijini Dar es Salaam.
2
Baadhi ya wafanyakaziwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakisherehekeaMaadhimisho ya Siku ya WafanyakaziDuniani, kwenye uwanja wa Uhurujijini Dar es Salaamwakipitambele ya jukwaakuu.
3
Baadhi ya wafanyakaziwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)wakiwajukwaa la uwanja wa Uhurujijini Dar es Salaam kusherehekeaMaadhimisho ya Siku ya WafanyakaziDuniani, ambayo kitaifa yalifanyika mkoani Kilimanjaro.
4
Baadhi ya wafanyakaziwaTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakiwa kwenye gari la maoneshowakioneshajinsi ya kupigakura wakati wakipitajukwaakuu la uwanja wa Uhurujijini Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Siku ya WafanyakaziDuniani.
5
Baadhi ya wafanyakaziwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakiungana na wafanyaziwenzaokuimbawimbo wa Mshikamanokwenye uwanja wa Uhurujijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya WafanyakaziDuniani.
Pichana Hussein Makame, NEC

No comments