Header Ads

Responsive Ads Here

TBL Group ilivyoshiriki Siku ya Uhuru wa Afrika ya Kusini


Katika mkakati wake wa kuendeleza uhusiano mzuri na serikali na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya nchi,kampuni ya TBL Group mwishoni mwa wiki iliungana na makampuni mbalimbali ya hapa nchini kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Afrika ya Kusini ambapo maofisa baadhi ya  wafanyakazi na maofisa walijumuika katika hafla ya kuadhimisha siku hiyo iliyofanyika  jijini Dar es Salaam.
SOS1
Balozi wa Afrika ya Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu,akisalimiana na  Afisa wa Masuala Endelevu wa TBL Group,Irene Mutiganzi ,wakati wa hafla hiyo.

SOS2
Afisa msaidizi wa Uhusiano na Mawasiliano wa TBL Group Abigail Mutaboyerwa,akisalimiana na Balozi wa Afrika ya Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu,alipowasili kwenye hafla hiyo
SOS3
Mtaalamu wa uzalishaji wa Wine ya Dodoma Erik Schlunz,(kushoto) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake wa TBL Group.
SOS4
Baadhi ya wageni waalikwa wakiburudika na kubadilishana mawazo
SOS5
Burudani za kila aina pia zilikuwepo

No comments