Header Ads

Responsive Ads Here

TAKUKURU KUBANA WEZI TASNIA YA KOROSHO


mlowola3
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) itafuatiIia na kubana wezi ndani ya Tasnia ya Korosho ili mkulima apate stahili yake.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Velentino Mlowola, amesema kuna wizi na udanganyifu mwingi ndani ta Tasnia ya Korosho na hivyo wakati umefika sasa wa wabaya wote kupelekwa mbele ya sheria.
Alikuwa akizungumza mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Mkutano Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Korosho, uliofanyika kwa siku mbili mjini Dodoma ukifunguliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na kuendeshwa na Mwenyekiti wa Wadau, mzee Hemed Mkali.
“ NimekuzwanauchumiwaKorosho. Menginenitakayoyasemahapanayajuakwasababuhiyo, sikwasababuyakuyasomavitabunitu.TasniayaKoroshonimiongonimwasektamuhimusanakatikauchumiwaTaifaletu. Koroshondilozaokuu la biasharakatikaMikoayaKusinimwa Tanzania.LakinisektahiiinakabiliwanachangamotokadhaazinazokwazamaendeleoyasektayenyewenauchumiwawananchiwanaozalishaKoroshonapiaMapatoyaSerikaliambayohutumikakugharamiamaendeleoyawananchinausalamawao. ChangamotozinazoathirisektayaKoroshozinahitajikuingiliwakatinaSerikaliiliwananchiwanaozalishaKoroshowapatestahilizaonahivyokukuzauchumiwaonawanchikwaujumla.
“ Kunamalalamikomengikutokakwawakulimaambayomengineyanasababishwanaukosefuwauadilifunakuwapokwarushwa. MigogoronimingikwenyevyamavyaMsinginaVikuunainadidimizadhananzimayaUshirika. Na wakulimakutolipwa au kupunjwafedhazamauzoyaKoroshobaadayaKoroshozotekuuzwaminadani.
“ KuwapowamlolongowakodinyingizinazotozwakwenyemauzoyaKoroshomfano; makatoyausambazajiwafedhanakinachoitwa  Task Force. UgumuwaupatikanajiwapembejeokwawakatinahudumazaUganikutosambaakwawakulimawengi,” alisema.
Alisema TAKUKURU imeorodheshamakosa 24, baadhiyamakosahayoyakiathirikwakiwangokikubwamaendeleoyasektayaKorosho.
“ Tunayachunguzakatikakutekelezajukumuletu la kusimamiaSheriakatikaSekta. Kuna  mianyamingiyarushwakwenyeKoroshokamaununuziwaKoroshokwanjiazavichochoronimaarufukwajina la “Kangomba” dhidiyamfumorasmiuliowekwa. ViongoziwaSerikalizaMitaakutojihusishanajukumulao la kusimamiataratibuzakiserikalizinazodhibitiubadhirifu, (wanaporuhusubiasharaya “Kangomba” kufanyikakwenyemaeneowanayoyaongozakunauwezekanomkubwawanafanyahivyokutokananakuwaporushwa) nabaadhiyaviongoziwaSerikalinavyamavyaUshirikakuingizasiasakwenyezao la Koroshonakusababishaatharikubwakwawakulimanawanachama.

AkifunguaMkutanohuoWaziriMkuuMajaliwaalisemaSerikaliyaawamuyatanoitalilindazao la Koroshokwakufanakupona.
NayeWaziriKilimo, MifugonaUvuvi Dk. Charles TizebaalisemakuanziamsimuhuudawayawaduduyasulphuritatolewaburekwawakulimanakwambaSerikalipiaikombionikugawaburemagunianavifungashiovyazao la Korosho.
KaimuMkurugenziMkuuwaBodiyaKorosho (CBT) ambayondiyoiliyoandaamkutanohuouliohudhuriwanawashirikiwapatao 600, Hassan Jarufu, amesematayariwadauwamekutanakupanganamnayakusambazapembejeohizokwakutumiaKamatizaPembejeozaMikoa, WilayanaVijiji.
AmesemapiakwambaBodiyaKoroshoitagawaburekwawakulimapembejeozadawazilizobakikatikamsimuuliopitabadalayakuziharibukwakuwazoezihilo la kuzitekezani la gharamakubwa.

No comments