Header Ads

Responsive Ads Here

SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA BENKI YA NBC


nbc1
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya NBC ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Ndg. Nehemia Mchechu (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Bodi, Dkt. Kassim Hussein (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Ndg. Edward  Marks (kulia) uliotembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

nbc2nbc4
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (Kushoto)akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya NBC, Ndg. Nehemia Mchechu (wa pili kushoto) akizungumza katika ugeni kutoka Benki ya NBC uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, anaefuata ni Mkurugenzi wa Bodi, Dkt. Kassim Hussein (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Ndg. Edward  Marks (kulia).
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments