Header Ads

Responsive Ads Here

SERIKALI KUIFANYIA MABADILIKO SHERIA YA NDOA NA MIRATHI.


PIX 6 kigwangala
Na DaudiManongi,MAELEZO,DODOMA.
Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo yaJamii,Jinsia,Wazee na Watoto imesema kuwa imewasilisha mapendekezo ya maboresho ya Sheria ya Ndoa na Sheria ya Mirathi Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa hatua zaidi.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Hamis Kigwangalla wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Faida Bakar leo katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Amesemakuwakatikakutokomezandoazautotoni,mwaka 2016 SerikaliiliifanyiamarekebishoSheriayaElimuyaMwaka 1978 ilikuzuiawatotowashulewasioleweambapokwamujibuwaSheriahiyo Na.4/2016 kifungu cha  60A hairuhusiwimtuyeyotekuoa au kumpaujauzitomwanafunziwashuleyamsingi au Sekondari.
AidhakwakuwaSheriahiiinalengazaidiulinzikwawatotowaliomashuleni,badoipohajayakuviondoakabisavifunguvinavyoruhusundoazautotonikwenyesheriayandoakamailivyofanyikakwanchinyinginekama vile Bangladesh,Yemen,Kenyana Malawi ilikuondoamkanganyikowowoteunaowezakujitokeza.
AmeelezakuwaSheriayaNdoayaMwaka 1971 katikakifungo cha 13 na 17, vinaruhusumtotowa kike kuolewakatikaumrimdogowamiaka 14 na 15 kwaridhaayawazazi au Mahakamaambapovifunguhivihumnyimamtotohakizakezamsingi.
“PamojanahayopiaSheriazaMirathizaKimila GN.379 na 436 zamwaka 1963 zimekuwazikiwanyimahakizaurithinaumilikiwaardhiwanawakenawatotokwaujumla”AlielezaMhe.Kigwangalla.
SerikaliimeamuakuletamiswadahiiBungeniilikuboreshanakubadilishasheriahiziiliziendanenawakatinakuwapatiahakiwanawakenawatoto.

No comments