Header Ads

Responsive Ads Here

SAKATA LA MAKATO YA MIKOPO YA WANAFUNZI LATUA MAHAKAMA KUUBaada ya Rais wa Tanzania John Magufuli kueleza kuhusu msimamo wa serikali juu ya  makato ya 15% ya wanufaika wa bodi ya mikopo ya elimu ya Juu  ambapo alisisitiza kuwa makato hayo yataendelea kama yalivyo sasa,Hatimye Jopo la mawakili nchini wamefungua Rasmi shauri la kikatiba Mahakama Kuu Dar es salaam kesi ya kupinga makato ya 15% ,Shauri namba 6 la 2017 ambalo ni kati ya Shukuru Mlwafu Dhidi ya mwanasheria Mkuu HELSB.Pichani ni mwanasheria Pasience Mlowe akizngumza na wanahabari Nje ya mahakama kuhusu Shauri hilo.

No comments