Header Ads

Responsive Ads Here

PICHA ZA WANAFUNZI 32,WALIMU 2 NA DEREVA WA SHULE YA LUCKY VICENT WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA GARI KARATU - ARUSHA

SeeBait
Juzi wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wa gari la Shule ya Msingi  Lucky Vicent ya Arusha walifariki dunia majira ya saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo la Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.Angalia picha hapa chini

No comments