Header Ads

Responsive Ads Here

OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA


Naibu
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,William Ole
Nasha(kushoto)akitambulishwa wafanyakazi wa kampuni ya Monsanto Tanzania
baada ya ofisi yao kufunguliwa hapa nchini eneo la Njiro mkoani
Arusha,kushoto kwake ni
Mkurugenzi wa Monsanto Afrika,Dk Shukla Gyanendra.

Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,William Ole
Nasha(kushoto)akikagua ghala la mbegu bora zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora.

Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,William Ole
Nasha akizungumza jambo baada ya kukagua ghala la mbegu bora za kampuni ya Monsanto zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora

Meneja
Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato Tanzania,Frank Wenga  akieleza
mipango kamambe ya kuwafikishia mbegu bora wakulima kote nchini.

Wageni mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa ofisi ya Monsanto Tanzania.

Meneja Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato
Tanzania,Frank Wenga  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari .

Naibu
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,William Ole
Nasha akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya Monsato
na mawakala wa mbegu nchini waliohudhuria uzinduzi wa kampuni wa ofisi
ya kampuni hiyo jijini Arusha.

No comments