Header Ads

Responsive Ads Here

Mwanajeshi ajipiga picha akiuawa Afghanistan


Picha iliopigwa na mwanajeshi huyo wakati alipokuwa akifanya zoezi la kijeshi nchini Afghanistan
Image captionPicha iliopigwa na mwanajeshi huyo wakati alipokuwa akifanya zoezi la kijeshi nchini Afghanistan
Picha moja iliochukuliwa na mpiga picha wa jeshi nchini Marekani wakati yeye na wanajeshi wengine wanne waliuawa katika mlipuko imetolewa na jeshi la Marekani.

Mwanajeshi Hilda Clayton mwenye umri wa miaka 22 na wanajeshi wanne wa Afghanistan waliuawa wakati bomu lilipolipuka wakati wa zoezi la kijeshi mnamo tarehe 2 mwezi Juali 2013.
Picha hii ilichukuliwa na mwanajeshi mwengine ambaye alikuwa akijifunza na Clayton
Image captionPicha hii ilichukuliwa na mwanajeshi mwengine ambaye alikuwa akijifunza na Clayton
Jeshi la Marekani pia lilitoa picha ya mwanajeshi wa kike wa Afghanistan ambaye mtaalam Clayton alikuwa akijifunza naye kupiga picha .
Pia alifariki.
Kifo cha Clayton ni ishara kwamba wanajeshi wa kike wanazidi kukabiliwa na hatari wakati wa mafunzo pamoja na vita na wenzao wa kiume.
Clayton alikuwa mkaazi wa jimbo la Georgia nchini MarekaniHaki miliki ya pichaARMY
Image captionClayton alikuwa mkaazi wa jimbo la Georgia nchini Marekani
Ajali hiyo ilitokea katika mkoa wa mashariki wa Laghman.
Jarida la jeshi lilichapisha picha hizo.
Mwanajeshi katika shindano la Hilda Clayton kuwania mpiga picha bora 2017Haki miliki ya pichaDVDS
Image captionMwanajeshi katika shindano la Hilda Clayton kuwania mpiga picha bora

No comments