Header Ads

Responsive Ads Here

MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA NCHINI YAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA


ger1
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimeleta maafa na uharibifu mkubwa wa miundombinu ya barabara mkoani Kagera katika eneo la Bulila Kemondo Bukoba vijijini ambapo barabara ya lami imekatika kabisa na kusababisha mawasiliano kati ya Bukoba na Muleba kuwa na shaka Wakala wa Barabara TANROADS wanatakiwa kuchukua hatua za haraka ili kurejesha miundombinu hiyo katika hali ya kawaida hapa ni picha mbalimbali zikionyesha uharibufu huo wa barabara (PICHA NA BUKOBA WADAUBLOG)

ger2ger3ger5

No comments