Header Ads

Responsive Ads Here

MULTCHOICE TANZANIA YAGAWA ZAWADI MBALIMBALI KWA WADAU WAKE


ds2
Mkurugenzi wa Fullshangweblog Bw. John Bukuku akipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa Esther Mtei wa Multchoice Tanzania maalum kwa ajili ya siku ya kiafrika ambayo huadhimishwa na kampuni hiyo na kuwakumbuka wadau wake kwa zawadi za vitu mbalimbali Asanteni sana Wadau wetu Multchoice tunawashukuru sana kwa zawadi hizi tuendelee na ushirikiano katika kubududisha na kuwapasha habari watu mbalimbali ulimwenguni, Makabidhiano hayo yamefanyika jana kwenye ofifi za Multchoice zilizopo Kinondoni.

ds3
Mkurugenzi wa Fullshangweblog Bw. John Bukuku akizi kwa picha na  zawadi zake alizokabidhiwa na  Esther Mtei wa Multchoice Tanzania 
ds5
Mdau Said Makala wa Chanel Ten akipokea zawadi zake pia kutoka kwa Esther Mtei wa Multchioce Tanzania.
ds6
Wadau John Bukuku Mkurugenzi wa Mtandao wa Fullshangweblog na Said Makala wa Chanel Ten wakipozi kwa picha ya pamoja baada ya kupokea zawadi zao.

No comments