Header Ads

Responsive Ads Here

MSANII WA ZANZIBAR ATARAJIA KUTOA VIDEO MPYA


unnamed
Msanii wa bongo flevar Kinde Makengeza anatarajia kuibuka na video mpya ya wimbo wake unao kwenda kwa jina la kidogokidogo Pamoja na hayo Kinde amedai kua  atafanya vizuri zaidi katika nyimbo hiyo husaa kwa upande wa video Amesema kua Director anaemtumia amemuhidi atatoa Kazi zake vizuri kuliko Kazi zake ambazo alizo kua akizifanywa kipindi cha nyuma
Ameyasema hayo akizngumza na Z4news Media Group visiwani Unguja
Kwa upande mwengine msanii huyo amewataka wasanii wa Zanzibar kuachana majungu na chuki kwani vitu hivyo vitawapelekea kutopanada katika masoko ya kimatiafa kimziki

No comments