Header Ads

Responsive Ads Here

MRADI WA MATREKTA YA URSUS MKOMBOZI KWA WAKULIMA TANZANIA

PICHA 1

Poland yakiwa tayari yameunganishwa na Wataalam kutoka Poland na Tanzania katika eneo la Kiwanda TAMCO lililoko Kibaha Mkoani Pwani yakiwa tayari kuanza kufanya kazi.


Majembe yatayotumika na matrekta ya Kampuni ya Ursus SA ya nchini Poland yakiwa tayari yameunganishwa na Wataalam kutoka Poland na Tanzania katika eneo la Kiwanda TAMCO lililoko Kibaha Mkoani Pwani yakiwa tayari kuanza kufanya kazi.


Wataalam wa kuunganisha matrekta ya Ursus kutoka Poland na Tanzania wakiendelea na kazi ya kuunganisha sehemu za matrekta hayo ndani ya kiwanda TAMCO lililoko Kibaha Mkoani Pwani. 


Matrekta ya Kampuni ya Ursus SA ya nchini Poland yakiwa yamewekewa majembe yake tayari kwa kuanza
kufanya kazi ya kulima mashambani.


No comments