Header Ads

Responsive Ads Here

MKUU WA MKOA WA ARUSHA ALETA SIASA ZA MAJITAKA MSIBANI,AWABAGUA WABUNGE WA UPINZANI

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema,   Godbless Lema ametoa masikitiko yake na kuonyesha kuumizwa na kitendo alichofanyiwa leo wakati wa kuaga miili ya wanafunzi, walimu na dereva waliofariki katika ajali ya basi.


Lema anasema kitendo cha yeye kama Mbunge wa Arusha mjini pamoja na Meya wa jiji kunyimwa nafasi japo ya kutoa pole kwa familia na wafiwa wakati wa kuaga miili hiyo ni ubaguzi mkubwa.


No comments