Header Ads

Responsive Ads Here

MHE SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM


ndg1
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge).

ndg2
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimsikiliza  Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat,  wakati alipozungumza naye ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge).
ndg3
Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati akimkabidhi barua Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge).
ndg4
Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai kitabu mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments