Header Ads

Responsive Ads Here

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 23, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 12, 2017.


7313-Mwenyekiti wa Bunge Chenge
 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.

7048-Lukuvi
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge  katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
6886-Mhe.Jenista
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
6905-Mhe.Kairuki
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
6908-Mhe.kijaji
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
7085-Lukuvi na Jenista
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
7105-Waziri wa Maji
Waziri wa Maji Mhe.Eng Gerson Lwenge akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
7166-Mhe.Ole nacho
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
6842-Mavunde akijibu swali
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
7056-Mabula
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge  katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
7067-Mawaziri wakizungumza
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angelina Kairuki katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
6924-Lukuvi na Selasini
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akiongea jambo na Mbunge wa Rombo(CHADEMA) Mhe.Joseph Selasini  katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
6956-Mbunge akichangia
Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Neema Mgaya akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
7024-Mbunge wa Kibamba
Mbunge wa Kibamba(CHADEMA)Mhe.John Mnyika akiuliza swali  katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
6982-Wabunge wakifatilia hoja
 Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali  katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
7184-Zito na Bashe wakizungumza
Mbunge wa Nzega Mjini(CCM) Mhe.Hussein Bashe akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe.Zitto Kabwe  katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
7320-Mhe.Kijaji na Kalemani
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani  katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
udom
Washiriki wa Shindano la Miss Udom wakiwa Bungeni Kujifunza shughuli mbalimbali zinazoendelea katika  kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

No comments