Header Ads

Responsive Ads Here

MAONYESHO YA SITA YA MADINI YA VITO YAANZA RASMI LEO JIJIJI ARUSHA

DSC_0023
 Mkuu wa mkoa wa Manyara Dk Joel Bendera akifatilia jambo wakati alipokuwa anazindua rasmi maonyesho ya sita ya vito na madini yanayofanyika katika hotel ya Mounti Meru ilipo jijini
Arusha(habari picha na Woinde Shizza,Arusha)

 Meya wa jiji la Arusha naye
aliuzuria katika uzinduzi wa maonyesho haya ya vito na madini
Na Woinde shizza,Arusha 

 wananchi wengi wanaoishi karibu na migodi mbalimbali inayochimba madini  ya aina
mbalimbali wamekuwa hawanufaiki kupitia madini hayo kutokana na viongozi wao wa
maeneo husika kutokuwa na  usiano mzuri
na wamiliki wa migodi hiyo.

Hayo yamebainishwa na mbunge wa jimbo la Simanjiro Jemsi ole
milya wakati akiongea katika uzinduzi wa maonyesho   vito na
madini  yaliofunguliwa leo jijini hapa 
 
Alisema kuwa japo kuwa madini mengi yenye dhamani yanachibwa
hapa nchini lakini ukifuatilia maisha ya wananchi wa maeneo ambayo
madini hayo hayafanani kabisa nao kwani asilimia kubwa ya wananchi hao ni maskini sana
na wengine awajiwezi

“asilimia kubwa  ya wananchi ambao madini hayo yanachibwa ukifatilia maisha yao hayafai kwani ni duni  hawana maendeleo  yoyote ,kwa ufupi awanufaiki na madini ambayo
yanatoka katika maeneo yao hivyo ni wajibu waserikali kuangalia upya swala hili
na kuanza kufatilia kwani ni kitu cha kusikitisha unakuta mwananchi mfano wa
mererani madini yanachibwa kwao lakini ukiangalia maisha anaoyoishi uwezi sema
anakaa sehemu Tanzanite inatokea kwa jinsi anashida”alisema
Milya

Naye  kaimu naibu katibu mkuu wa wizara ya Nishati na madini Jemsi Mdoe  alisema
kuwa sera ipo na sheria ipo ya kuakikisha wananchi ambaowanazunguka maeneo ya migodi
wanasaidiwa  na migodi hiyo lakini ukifuatilia kwa kiasi
kikubwa wale wananchi ambao hawanufaiki ni wale ambao unakuta viongozi wao wa
mtaa au kijiji awanaushirikiano mzuri na viongozi au wawekezaji waliowekeza
katika maeneo yao ,hivyo ni wajibu wawanchi pamoja na viongozi kurikiana kwa
pamoja na kuungana ili kuweza kusaidia

Akizungumzia maonyesho haya ya vito na madini   (Arusha Gem Fair )alisema kuwa haya ni maonyesho ya sita kufanyika na yanafanyika kwa muda wa siku tatu   lengo ikiwa kutimiza dira iliopo  katika sera ya madini ya mwaka 2009  inayosisitiza kuwa Tanzania iwe kitovu cha madini .

Alisema kuwa sekta ndogo ya vito inachangia katika uchumi wa maendeleo ya jamii  hivyo maonyesho haya  ni fursa kwa wachimbaji  na wafanyabiashara wa hapa nchini kuweza kupata fursa ya kujitangaza zaidi

“unajua  wageni wengi kutoka nchi mbalimbali wanauthuria katika maonyesho haya wengine wanakuja kununua madini wengine wameleta madini yao ili yauzwe kwaiyo hii ni fursa ya
pekee ya wachimbaji wetu wa ndani kujitangaza na kupanua soko la zaidi kikubwa
zaidi  waangalie ni namna gani watayafanya madini yao yawe na dhamani zaidi”alisema
Jemsi 
 
 baadhi ya madini yaliyoletwa katika maonyesho

“asilimia kubwa  ya wananchi ambao madini hayo yanachibwa ukifatilia maisha yao hayafai kwani ni duni  hawana maendeleo  yoyote ,kwa ufupi awanufaiki na madini ambayo
yanatoka katika maeneo yao hivyo ni wajibu waserikali kuangalia upya swala hili
na kuanza kufatilia kwani ni kitu cha kusikitisha unakuta mwananchi
mfano wa Mererani madini yanachibwa kwao
lakini ukiangalia maisha anaoyoishi uwezi sema
anakaa sehemu Tanzanite inatokea kwa jinsi anashida”alisema
Milya

Naye  kaimu naibu katibu mkuu wa wizara ya Nishati na madini Jemsi Mdoe  alisema
kuwa sera ipo na sheria ipo ya kuakikisha wananchi ambaowanazunguka maeneo ya migodi
wanasaidiwa  na migodi hiyo lakini ukifuatilia kwa kiasi
kikubwa wale wananchi ambao hawanufaiki ni wale ambao unakuta viongozi wao wa
mtaa au kijiji awanaushirikiano mzuri na viongozi au wawekezaji waliowekeza
katika maeneo yao ,hivyo ni wajibu wawanchi pamoja na viongozi kushirikiana kwa
pamoja na kuungana ili kuweza kusaidia

Akizungumzia maonyesho haya ya  madini ya vito   (Arusha Gem Fair )alisema kuwa haya ni

No comments