Header Ads

Responsive Ads Here

MADIWANI DODOMA WAFURAHISHWA NA AGIZO LA RAIS MAGUFULI


unnamed
Diwani wa Kata ya Mtumba Manispaa ya Dodoma Edward Maboje akichangia taarifa iliyowasilishwa na Katibu wa Baraza la Madiwani la Manispaa hiyo Godwin Kunambi iliyojumuisha agizo la Rais Dokta John Magufuli kuhusu uongozi wa Mkoa na wadau wote kuchunguza na kuishauri Serikali endapo kuna haja ya kuendelea au kutoendelea kuwa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao (CDA). Madiwani kwa ujumla wao wamependekeza Mamlaka hiyo ivunjwe.

A 1
 Katibu wa Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmshauri ya Manispaa ya Dodoma ambaye pia ndiye Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Godwin Kunambi (kushoto) akiwasilisha taarifa ya Katibu mbele ya wajumbe wa Baraza hilo katika Mkutano wa kawaida wa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2016/2017 jana katika ukumbi wa Manispaa. Kushoto kwake ni Naibu Meya wa Manispaa hiyo Jumanne Ngede.
A
Sehemu ya wajumbe wakifuatilia Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma katika Ukumbi wa Manispaa hiyo jana.

Baadhi ya Wataalam wa Manispaa ya Dodoma wakifuatilia Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo katika Ukumbi wa Manispaa  jana.
Na RamadhaniJuma
OFISI YA MKURUGENZI
MADIWANI waHalmashauriyaManispaaya Dodoma wameelezeakufurahishwakwaonaagizoalilotoaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDoktaJohn PombeMagufulikuhusukuundwakwatimuitakayokuwanakujumu la kufanyautafitinakuishauriSerikaliendapokunahajayakuendeleakuwanaMamlakayaUstawishajiwaMakaoMakuu (CDA) katikakuendelezamjiwa Dodoma au jukumuhilolifanywenaHalmashauriyaManispaakamailivyokatikaManispaazotenchini.
WakichangiataarifayaKatibuwaBaraza la Madiwani la ManispaayaDodoma GodwinKunambiambayepiandiyeMkurugenziwaManispaahiyojana, wajumbewaBarazahilowalidaikuwasasaimefikiawakatiMamlakahiyouvunjwekwaniimekuwaikisababishamigogoromingiyaardhibadalayakuupangaMjihuokwanindiojukumulao la msingi.
Madiwaniwotewaliopatafursayakuchangiataarifahiyowalielezakuwa, wananchiwaManispaaya Dodoma wamechoshwanauwepowaMamlakaya CDA nakwambaimewanyanyasakwamudamrefuikiwanipamojanakuwaporaardhizaobilakuzingatiasherianataratibu.
HivikaribuniMheshimiwaRaisDokta John MagufuliakiwaMjini Dodoma aliagizapamojana mambo mengine,kufanywamajadilianokatiyawadauambaoniuongoziwaMkoa, MamlakayaUstawishaji (CDA), HalmashauriyaManispaayaDodoma,WizarayaArdhinamamlakazotezinazohusikailiziiishauriSerikalijuuyaumuhimuwakuendelea au kutoendeleanaMamlakayahiyo.

No comments