Header Ads

Responsive Ads Here

MAALIM SEIFAKUTANA NA LOWASSA JIJINI DAR ES SALAAMKatibu Mkuu wa CUF,  na Makamu wa Kwanza wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad leo Mei 6, 2017, amemtembelea Waziri Mkuu wa zamani, na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa akiwa ofisini kwake, (oval), Mikocheni jijini Dar es Salaam ambako wamejadiliana masuala mbali ya siasa na zaidi mgogoro ndani ya CUF. Kwa mujibu wa taaifa za asaidizi wa Mhe. Lowassa, mazungumzo hayo yalijikitazaidi katika kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa vyama vya upinzani, vinavyounda vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Maalim Seifyuko jijini Dar es Salaam kwa ziara ambayo sio rasmi lakini inalengo la kuwatembelea wanachama wa CUF, pamoja na viongozi mbalimbali wa kisiasa.No comments