Header Ads

Responsive Ads Here

Live : KUAGWA KWA MIILI YA WANAFUNZI, WALIMU NA DEREVA WA SHULE YA LUCKY VINCENT-ARUSHA


Leo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji waliokusanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kuomboleza vifo vya wanafunzi zaidi ya 30 wa Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbika kwenye korongo.
Tazama hapa chini

No comments