Header Ads

Responsive Ads Here

LAPF YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM


la1
Meneja Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe akifafanua jambo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na mfuko huo wakati alipkuwa akizungumza katika mkutano wa siku moja na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habaru uliofanyika leo kwenye jengo la Milenium Tower lililopo Makumbusho jijini Dar es salaam mkutano huo wa siku moja umejadili mambo mbalimbali yanayofanywa na mfuko huo kuhusu mafao yanayotolewa kwa wanachama wake lakini pia kutatua changamoto kadhaa zinazokabili mfuko huo Kulia ni Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri TEF Bw. Neville Meena na katikati ni Mwenyeekiti wa TEF  Bw. Theophil Makunga.

la2
Kulia ni Ramadhan Mkeyenge Meneja Mafao LAPF  na Elia Shola Afisa Mwandamizi Uwekezaji wakiwa katika mkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
la3
Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa katika mkutano huo leo.
la4
Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakifuatilia mada  katika mkutano huo leo.
la5la6la7la8
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Mwananchi Bw. Bakari Machumu kushoto na Bw. Idris Jabir kutoka Mwanahalisi wakifuatilia mambo kadhaa katika mkutano huo.
la9la10
Rehema Mkamba Afisa Masoko na Mahusiano Mwandamizi LAPF akizungumza jambo katika mkutano huo.
la11
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri TEF Bw. Neville Meena akizungumza katika mkutano huo katikati ni Mwenyeekiti wa TEF  Bw. Theophil Makunga na kushoto ni Meneja Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe
la12
Elia Shola Afisa Mwandamizi Uwekezaji LAPF  kitoa mada  katika mkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
la13
Baadhi ya wahariri wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea kwenye mkutano huo leo.
la14
Meneja Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe wa pili kutoka kushoto ni Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Majira Bw. Immanuel Mbuguni wakifuatilia mada katika mkutano huo.
la15
Ramadhan Mkeyenge Meneja Mafao LAPF akitoa mada kwa wahariri wa vyombo vya habari wakati wa mkutano huo uliofanyika jijini Dar es salaam.
la16
Rehema Mkamba Afisa Masoko na Mahusiano Mwandamizi LAPF akishiriki katika mkutano huo uliokutanisha maofisa na Wahariri wa Vyombo vya habari.

No comments