Header Ads

Responsive Ads Here

KUTANA NA MBUZI WANAOPANDA JUU YA MITI

   


Mbuzi nchini Moroco hupanda juu ya mti kujitafutia chakula,ni kama vituko lakini ukweli ndio huo.
Yuko juu ya mti Maneo kama haya ya Morocco mbuzi hupanda juu ya mti kujitafutia chakula
Mbuzi hawa wamepanda juu ya mti wa Argan kutafuta matunda
Matunda ya mti wa Argan ni chakula cha mbuzi
Mbuzi juu ya mti kujitafutia chakula
Mbuzi juu ya mti
Mbuzi juu wa mti

No comments