Header Ads

Responsive Ads Here

JTFE YATOA MSAADA KITUO WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA NA WADIAKONIA KKKT -DKMZV


Taasisi ya Kimataifa ya Josephat Torner Foundation Europe (JTFE) inayojishughulisha na masuala ya watu wenye Ualbino imetoa msaada wa miwani ya kuzuia mionzi ya jua,viatu, vifaa vya michezo kwa watoto ikiwemo midoli katika kituo cha kulelea watoto wenye ualbino cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga chenye watoto wenye ualbino 142,wasioona 26 na wasiosikia 60. 

No comments